Waziri Mkuu Pinda akutana na Mabalozi Wateule


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na mabalozi wateule watakaoiwakilisha Tanzani akatika mataifa mbalimbali.  Kutoka kushoto ni  Mbarouk  Nasoro Mbarouk (Umoja wa Falme za kiarabu _UAE), Modest Jonathan Maro Umoja wa matifa _Geneva) Wilson Masilingi  (Uholanzi), Liberata Mulamula (Marekani), Luteni Jenerali Mstaafu, Abdulrahman Shimbo (China), Chabaka Kilumanga (Comoro),  na Anthony Cheche  atakayekwenda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi wateuli watakaoiwakilisha Tanzania katika Mataifa mbalimbali. Kutoka kushoto ni Anthony Cheche (DRC), Chabaka  Kilumanga (Comoro), Luteni Jenerali Mstaafu, Abdulrahman Shimbo, (China), Liberata Mulamula (Marekani), Wilson Masilingi (Uholanzi), Mbarouk Nasoro Mbarouk (U.A.E) na Modest Maro ,(Umoja wa Mataifa - Geneva. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA