HONGERA SHULE YA SEKONDARI KAIZIREGE ILIYOPO MKOA WA KAGERA KWA KUFAULISHA WOTE KWA KUPATA DARAJA LA KWANZA
Nimeshangazwa
sana na shule hii kwa kufaulisha wanafunzi wote 33 kwa kupata daraja la
kwanza, Hakika inawezekana pia kama we mzuri ni mzuri tu.Shule hii ipo
Mkoani Kagera na imechukua nafasi ya Kwanza Kimkoa na Nafasi ya Kwanza
Kitaifa katika kategori ya Shule yenye wanafunzi wasiozidi 40..
HONGERA KAIZIREGE SECONDARY NA HII NDIO BIG RESULT NOW
Comments