Waziri Shamhuna alipofanya ziara ya kikazi nchini Oman


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar Mheshimiwa Ali Juma Shamhuna mara alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Muscat kuanza Ziara ya kikazi nchini Oman, kushoto ni Waziri wa Elimu ya Juu wa Oman Mhe. Dr. Rawiyah Al Busaidi, wa kwanza kulia ni Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh, Balozi wa Tanzania nchini Oman.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar Mheshimiwa Ali Juma Shamhuna wa pili kutoka kushoto akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Elimu ya Juu wa Oman Mhe. Dr. Rawiyah Al Busaidi, wa pili kulia , wa kwanza kushoto ni Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh, Balozi wa Tanzania nchini Oman.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar Mheshimiwa Ali Juma Shamhuna wa tatu kulia akiongoza ujumbe wa Zanzibar katika mazungumzo na Waziri wa Elimu ya Juu wa Oman Mhe. Dr. Rawiyah Al Busaidi akiongoza ujumbe wa Oman Kushoto , wa nne kushoto ni Mheshimiwa Ali Ahmed Saleh, Balozi wa Tanzania nchini Oman.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar Mheshimiwa Ali Juma Shamhuna kushoto na Waziri wa Elimu ya Juu wa Oman Mhe. Dr. Rawiyah Al Busaidi wakitia saini nyongeza katika mkataba wa ushirikiano wa Elimu ya Juu baina ya Oman na Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar Mheshimiwa Ali Juma Shamhuna kushoto akiwa katika Mazungumzo na Waziri Kazi wa Oman kuhusu ushirikiano katika sekta ya mafunzo ya amali.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI