Mkufunzi
wa mazoezi ya viungo, Taifa Liwewa (Kushoto), akiwaongoza wafanyakazi
wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, wakati wa mazoezi ya viungo, kwenye bonanza
la michezo lililoandaliwa na Mfuko huo na kufanyika viwanja vya Ustawi
wa Jamii, Kijitonyama jijini Dar es Salaam Jumamosi Aprili 19, 2014.
Mgeni rasmi kqwenye tamasha hilo lililoshirikisha michezo mbalimbali
ikiwemo, kuvuta kamba na soka, alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William
Erio.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, akikagua timu za soka za Mfuko huo, wakati wa Bonanza hilo.
Timu
ya wanawake ya kuvuta kamba ya Mfuko wa Pesnheni wa PPF, ikizidiwa
nguvu na wenzao wanaume kwenye mchezo wa kuvuta kamba. Hata hivyo timu
hiyo ilijitutumua kwani katika raundi ntatu, ilishinda kwa taaabu raundi
moja.
Mchezaji
wa soka wa timu ya PPF, kutoka idara ya Utawala, Johnson Aloyce
(Kushoto), akichanja mbuga, wakati wa pambano la soka dhidi ya Idara ya
kuzuia Majanga.
Meneja
Uhusiano nna Masoko ya Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele
(Katikati), akiwa sambamba na wafganyakazi wenzake, wakati wa mazoezi ya
viungo.
Comments