DIAMOND KUIWAKILISHA TANZANIA KWENYE TUZO ZA MTV AFRICA MUSIC AWARDS ‘MAMA’ AFRIKA KUSINI JUNI 07.


Diamond 
Msanii wa Tanzania anayeongoza kulipwa mkwanja mrefu katika shoo zake, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ anapeperusha bendera ya Tanzania katika kinyang’anyiro cha kuwania tuzo kubwa barani Afrika zijulikanazo kama  MTV Africa Music Awards ‘MAMA’   akiwa kwenye vipengele viwili  ikiwemo  cha wimbo bora wa kushirikiana  kupitia ngoma yake ya ‘My Number Remix’ aliyomshirikisha Davido na msanii bora wa kiume.
Kizuri zaidi kwa wewe mpenda burudani  ni kwamba MTV wanakuletea shoo za ‘Road To MAMA’ ambazo zitafanyika katika nchi tatu tu Afrika zilizotajwa kuwa ni  Durban Afrika Kusini, Lagos Nigeria pamoja na Dar es salaam Tanzania.
Hii ni kuonyesha kwa kiasi gani Tanzania tumepiga hatua katika mziki wetu kutokana na sasa hivi umeweza kutambulika na kuthaminiwa kimataifa zaidi. Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika Juni 07 mwaka huu nchini Afrika Kusini.
Mpigie kura mwanamuziki Diamond Platnumz   kupitia http://www.mtvbaseafrica.com ili aweze kuleta heshima  na kurejea na tuzo hizo nyumbani, kwa sababu mtu mmoja anapopiga hatua moja mbele anatoa nafasi ya watu wengine walioko nyuma yake kuweza kufahamika zaidi na zaidi.
TAZAMA  ORODHA YA WASANII WALIOCHAGULIWA KUWANIA TUZO HIZO
Best Male:
Anselmo Ralph (Angola)
Davido (Nigeria)
*Diamond (Tanzania)
Donald (South Africa)
Wizkid (Nigeria)
Best Female:
Arielle T (Gabon)
Chidinma (Nigeria)
DJ C’ndo (South Africa)
Efya (Ghana)
Tiwa Savage (Nigeria)
Best Group:
Big Nuz (South Africa)
Mafikizolo (South Africa)
Mi Casa (South Africa)
P Square (Nigeria)
Sauti Sol (Kenya)
Best New Act:
Burna Boy (Nigeria)
Heavy K (South Africa)
Phyno (Nigeria)
Stanley Enow (Cameroon)
Uhuru (South Africa)
Best Live Act:
2face (Nigeria)
Fally Ipupa (DRC)
Flavour (Nigeria)
Dr Malinga (South Africa)
Zakes Bantwini (South Africa)
Best Collaboration:
Amani ft Radio and Weasel – ‘Kiboko Changu’ (Kenya/Uganda)
*Diamond feat Davido – ‘Number One’ (Remix) (Tanzania/Nigeria)
Mafikizolo feat May D – ‘Happiness’ (South Africa/Nigeria)
R2bees feat Wizkid – ‘Slow Down’ (Ghana/Nigeria)
Uhuru feat DJ Buckz, Oskido, Professor, Yuri Da Cunha – ‘Y-tjukutja’ (South Africa/Angola)
Artist of the Year:
Davido (Nigeria)
Mafikizolo (South Africa)
Mi Casa (South Africa)
P Square (Nigeria)
Uhuru (South Africa)
Song of the Year:
Davido- ‘Skelewu’ (Nigeria)
DJ Clock feat Beatenberg – ‘Pluto’ (Remember Me) (South Africa)
DJ Ganyani feat FB – ‘Xigubu’ (South Africa)
DJ Kent feat The Arrows –‘Spin My World Around’ (South Africa)
Dr Sid feat Don Jazzy – ‘Surulere’ (Nigeria)
KCee – ‘Limpopo’ (Nigeria)
Mafikizolo feat Uhuru ‘Khona’ (South Africa)
Mi Casa- ‘Jika’ (South Africa)
P Square – ‘Personally’ (Nigeria)
Yuri Da Cunha -‘Atchu Tchu Tcha’ (Angola)
Best Hip Hop:
AKA (South Africa)
Ice Prince (Nigeria)
Khuli Chana (South Africa)
Olamide (Nigeria)
Sarkodie (Ghana)
Best Pop:
Danny K (South Africa)
Fuse ODG (Ghana)
Goldfish (South Africa)
LCNVL (South Africa)
Mathew Mole (South Africa)
Best Alternative:
Gangs of Ballet (South Africa)
Michael Lowman (South Africa)
Nakhane Toure (South Africa)
Parlotones (South Africa)
Shortstraw (South Africa)
Best Francophone:
Arielle T (Gabon)
Espoir 2000 (Ivory Coast)
Ferre Gola (DRC)
Toofan (Togo)
Youssoupha (Congo)
Best Lusophone:
Anselmo Ralph (Angola)
JD (Angola)
Lizha James (Mozambique)
Nelson Freitas (Cape Verde)
Yuri Da Cunha (Angola)
NON MUSIC CATEGORIES
Personality of the Year:
Chimamanda Adiche (Nigeria)
Omotola Jalade Ekeinde (Nigeria)
Trevor Noah (South Africa)
Lupita Nyong’o (Kenya)
Yaya Toure (Cote d’Ivoire)
Transform Today by Absolut
Anisa Mpungwe (Tanzania)
Clarence Peters (Nigeria)
I See a Different You (South Africa)
Leti Arts (Ghana)
Rasty (South Africa)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI