Dk Shein azindua mradi wa umeme kijiji cha Ukunjwi kisiwani Pemba

IMG_8850 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Umeme katika Kijiji cha Ukunjwi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo.[Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]IMG_8887  Baadhi ya  wananchi wa Kijiji cha Ukunjwi na Vitongoji jirani na wafanyakazi wa Shirika la Umeme Zanzibar wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza baada ya kuzindua rasmi Mradi wa Umeme katika Kijiji  hicho kiliopo Mkoa wa Kaskazii Pemba leo. [Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]IMG_8890 Wanafunzi wa Skuli ya Ukunjwi Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi baada ya kuzindua rasmi Nishati hiyo leo, [Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]
 IMG_8922 Naibu Katibu wa  Mkuu wa Wizara ya Ardhi,Maji na Nishati Mustafa Aboud Jumbe Mwinyi,akisoma Ripoti ya Wizara wakati wa  uzinduzi rasmi wa  Mradi wa Umeme katika Kijiji cha Ukunjwi Mkoa wa Kaskazini Pemba leo, [Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]IMG_8976Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Ukunjwi na Vijiji Jirani wakati wa sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Umeme uliofanyika leo Kijijini hapo Mkoa wa Kaskazini Pemba. [Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA