JE, DAVIDO KUFANYA NGOMA MOJA NA WALE????

Davido1
Rapa kinda wa Nigeria anayekuja kwa kasi kama treni ya umeme, hapa namzungumzia Davido, ameonekana akiwa kwenye studio za Rapa wa marekani mwenye asili ya Nigeria ‘Wale’ anayefanya kazi chini ya lebo ya Maybach Music Group inayomilikiwa na Rick Ross .
Wakiwa studio, mastaa hao waliweza kupiga  pamoja picha na kisha kuzitupia mtandaoni.  “Chilling at my spot wit @lifeofdavido writin these naija tunes” aliandika Wale kupitia ukurasa wake wa Instagram. 
Bado haijaweza kufahamika kama wawili hao wapo kwenye mchakato wa kufanya nyimbo pamoja au la,  licha ya dalili kujionyesha.  Endelea kutembelea blog hii kuhusiana na  taarifa zaidi.
davido2
Davido3

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*