KINANA AHUDHURIA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA

Apr 7, 2014
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akiwa na mwenyeji wake Katibu Mkuu wa Chama Cha RPF-INKOTANYI, Francois Ngarambe baada ya kuwasili mjini Kigali, Rwanda kwenye tafrija ya viongozi wa vyama tawala barani Afrka.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akiwa na mwenyeji wake Katibu Mkuu wa Chama Cha RPF-INKOTANYI, Francois Ngarambe baada ya kuwasili mjini Kigali, Rwanda kwenye tafrija ya viongozi wa vyama tawala barani Afrka. Kulia ni Mjumbe wa NEC, Balozi Ali Karume.
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akitoa salaam za shukrani kwa niaba ya vyama Vilivyoalikwa kwa Katibu Mkuu wa RPF wakati wa hafla hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, akiagana na Rais wa Uganda Yoweri Museven baada ya maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbali kwenye uwanja wa Amahoro, mjini Kigali, Rwanda.
 
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, William Hague wakibadilishana mawazo kwenye Maadhimisho ya Kumbukumbu ya mauaji ya kimbari, katika Uwanja wa Amahoro leo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Rais Mstaafu wa  Afrika Kusini Thabo Mbeki wakibadilishana mawazo kwenye Uwanja wakati wa maadhimisho hayo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahma Kinana, akiwa na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Mama Anna Mkapa na Rais Mstaafu wa Botswana Sir. Ketumile Masire wakati wa maadhimisho hayo.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akiwa na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akibadilishana mawazo na Rais wa Mstaafu wa Burundi Pierre Buyoya na mke wa Buyoya wakati wa maadhimisho hayo. Picha zote na Edward Mpogolo wa Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU