KINANA AKAGUA KITUO CHA AFYA INYONGA WILAYANI MLELE KINACHOCHELEWESHWA KWA MAKUSUDI NA WIZARA YA AFYA KUWA HOSPITALI YA WILAYA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisaidia kujenga moja

ya majengo ya Shule ya Sekondari ya Mtapenda katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda, Katavi wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM.
 Mjumbe wa NEC-CCM,Balozi Ali Abeid Karume, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Uenezi na Itikadi wa chama hicho, Nape Nnauye wakipanda miti katika Shule ya Msingi ya Mtapenda, wilayani Mpanda.Katavi.
Nape akiwa na wanachama wa Shina la CCM namba 4 katika Kijiji cha Songambele, Nsimbo, mkoani Katavi.
 Katibu Mkuu wa CCM,Kinana akielezea jinsi Serikali inavyotekeleza usambazaji wa maji kwa wananchi alipokagua mradi wa maji uliojengwa kwa sh. mil. 400 katika Kijiji cha Mwenge mkoani Katavi.
 Waendesha bodaboda wakiuongoza msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Ndugu Kinana alipokuwa zkienda kukagua miradi ya maendeleo katika Makao Makuu ya Wilaya mpya ya Mlele, Inyonga.
 Kinana akibeba tofali baada ya kulifyatua mjini Inyonga kwa ajili ya kujengea ofisi ya CCM wIlaya ya Mlele
 Nape akibeba tofali kwa ajili ya kujengea ofisi ya CCM, Wilaya ya Mlele.
Mbunge wa Viti Maalumu Fulugensia Kikwembe naye akibeba matofali hayo
 Kinana akisikiliza maelezo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Kituo cha ASfya cha Inyonga ambacho kina hadhi ya kuwa Hospitali ya Wilaya ya Mlele, lakini jitihada za kuipandisha hadhi hiyo imepuuzwa kwa muda mrefu na Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.  Uongozi wa kituo hicho ulipeleka maombi hayo wizarani februali mwaka 2013, lakini hadi hasas hakuna majibu yoyote wala kiongozi yeyote wa wizara yalifika kukagua kituo hicho. Kinana ameahidi kulifuatilia suala hilo na kulipatia ufumbuzi wa haraka.
 Kinana akioneshwa baadhi ya vifaa tiba vya kisasa vilivyotolewa na Waziri Mkuu katika kituo hicho

Kinana akikagua majengo ya kituo hicho cha afya


 Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Inyonga wakati wa ziara yake katika wilaya mpya ya Mlele.
Waendesha bodaboda  wakiwa juu ya pikipiki zao wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa CCM,Kinana akihutubia  mjini Inyonga.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI