KINANA AWAKOSHA WANANCHI WAKATI WA ZIARA YAKE WILAYAI KALAMBO,RUKWA

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa Kata ya Kasanga wilayani Kalambo, wakati wa ziara yake mkoani Rukwa ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya mendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM.PICHA ZOTE NA KAMANDA WAMATUKIO BLOG
Waendesha bodaboda wakiongoza msafara wa Kinana kuelekea Matai Makao Makuu ya Wilya ya Kalambo kuendelea na ziara wilayani Kalambo
Kinana akibeba tofali alilofyatuwakati wa uzinduzi ajengo la CCM la wilaya hiyo
Kinana akiondoka baada ya kuzindua ujenzi huo
Balozi wa Shinma namba mbili la CCM katika Mji wa Matai wilayani Kalambo, Gerald Sokoni akifunguakutano alipotembelewa na Kinana
Mkuu wa Wilaya ya Nkasi ambaye pia ni Kaimu Mkuu wa Wilya ya Kalambo, Iddi Kimanta akihutubia mkutano katika shina hilo la balozi
Kinan akisalimiana na wananchi wa Kata ya Kasanga wilayani Kalambo
Mjbe wa NEC-CCM Balozi Ally Karumbe akilakiwa na wananchi wa Kata ya Kasanga
Akinana dad waipiga picha wakati Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata yaKasanga ilyopo kaika mwambao wa iwa Tanganyika, wilayani Kalambo
Mmoj wa wakazi wa Kata ya Kasanga akiwa amembeba mwanawe wakati wa mkutano uliokuwa unahutubiwa na Kinana
Wananchi wakishagilia hotuba ya Kinana
Wnachama wapya wa CCM wakila kiapo baada ya kubidhiwa kadi na Kinana katika mkutano huo
Kijana akila kiapo cha utii cha CCM huk akipiga picha waati wa mkutano huo wa hadhara
Kinana akiwaongoza wanachama wapa wa CCM kula kiapo cha utii
Kinana akizaadiwa zawadi mbalimbali na wananchi wa kata ya Kasanga
Knana akihutubia mkutano huo wa hadhara
Sehemu ya Ziwa Tanganyika likionekana katika Kata ya Kasanga

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.