KINANA AZINDUA UJENZI WA NYUMBA 60 UTAKAOFANYWA NA NHC KATIKA WILAYA MPYA YA MLELE, MKOANI KATAVI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua ujenzi wa nyumba za gharama nafuu 60 zitakazojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), katika Makao Makuu ya Wilaya mpya ya Mlele, Inyonga, mkoani Katavi  wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM.Kinana amesema kuwa CCM inaungana na kilio cha NHC cha kuondoa ushuru wa asilimia 17 katika vifaa vya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazouzwa kwa wananchi wenye kipato cha chini.
 Meneja Mawasiliano kwa Umma wa NHC, Muungano Saguye akielezea mikakati ya shirika hilo kutekeleza Ilani ya CCM ya kujenga nyumba 15.000 nchini ifikapo mwaka 2015 wakati wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa nyumba 60 katika Makao Makuu ya wilaya ya Mlele, Katavi, uliofanywa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
 Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Rajab Rutengwe akitoa shukurani kwa NHC kujenga nyumba za kisasa katika wilaya hiyo mpya.
 Kinana akiipongeza  NHC kwa kutekeleza vizuri Ilani ya CCM kwa kujenga nyumba 60 katika wilaya hiyo pamoja na maeneo mengine nchini.
 Mfano wa nyumba zitakazojengwa wilayani Mlele
 Jengo hili la kisasa litajengwa na NHC Makao Makuu ya Mkoa wa Katavi, Mpanda
 Ramani ya mahali patakapojengwa nyumba 60 wilayani Mlele.
Kinana akishangiliwa na wananchi baada ya kuwasili katika Mji wa Inyonga, Makao Makuu ya Wilaya ya Mlele.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA WA KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA