LIVE MUDA HUU: TAZAMA MAFURIKO HUKO KYELA ENEO LA KAJUJUMELE YALIVYO LETA SHIDA, MH. MWAKYEMBE(MB) ATUA HUKO .


Mbunge wa Kyela Dr. Mwakyembe akikagua Barabara iendayo Bandari ya Kiwira Muda huu
 Baadhi ya watu wakigangaika kupita juu ya maji hayo yaliyotokana na Mafuriko

 Baadhi ya watu mbalimbali wakiwa wanashuhudia Mafuriko hayo muda huu
 Gari Likiwa limekwama katika tope lililotokana na Mafuriko hayo, hili ni eneo la Bujonde 
Picha kwa Hisani ya Kaka yetu mdau Mkubwa wa Mbeya yetu Blog Felix Mwakyembe

Na Mbeya yetu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI