Mshindi pekee wa tuzo za Oscar kutoka barani Africa na balozi wa vipodozi vya Lancome,
muigizaji raia wa Kenya ‘Lupita Nyong’o’ amemwanika mtu
anayependezesha kichwa chake na kumfanya awe na staili ya kipekee kama
vile wafanyavyo mastaa wengine wakubwa.
Staa huyo wa filamu ya 12 Years a slave aliposti picha
kwenye ukurasa wake rasmi wa Instagram akiwa na kinyozi wake na kuandika
ujumbe uliokuwa ukimsifia..”Anybody can cut hair
off, but a barber knows when and where to stop. @MrBarberJ
#shoutout #tbt#brooklyn style enhancing my smile”. Aliandika Lupita
Comments