Maadhimisho ya Kimataifa ya kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea mwaka 1994 kufanyika jijini Dar esSalaam Aprili 7

Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Dkt. Ben Rugangazi akiongea na waandishi wa habari Jana  jijini Dar es salaam juu ya maadhimisho ya Kimataifa ya kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea mwaka 1994, maadhimisho hayo yatakayofanyika jijini Dar es salaam Aprili 7, mwaka huu ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Ofisi ya Rais (Asiye na Wizara Maalum), Prof.Mark Mwandosya.
 Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Dkt. Ben Rugangazi (kushoto) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)jana jijini Dar es salaam kuhusu kumbukumbu ya maadhimisho ya mauaji ya kimbari ya Rwanda ya 1994. Kushoto ni Afisa Habari wa Kituo cha Kimataifa Stella Vuzo.
 Balozi wa Rwanda nchini Tanzania Dkt. Ben Rugangazi (kushoto) akiongea na waandishi wa habari jana jijini Dar es salaam juu ya maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya  kumbukumbu ya miaka 20 ya  mauaji ya kimbari ya Rwanda yaliyotokea mwaka 1994, maadhimisho hayo yatakayofanyika jijini Dar es salaam Aprili 7, mwaka huu ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Waziri Ofisi ya Rais (Asiye na Wizara Maalum), Prof.Mark Mwandosya. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Assah Mwambene.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA