Bondia
Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano
wake utakaofanyika PTA Sabasaba April 12 siku ya jumamosi picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Bondia SukkasemKietyongyuth
kutoka Thailand akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya
kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya April 12
katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Bondia Fransic Cheka akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho April 12 katika ukumbi wa PTA Sabasaba kushoto ni bondia Gavad Zohrehvand wa Iran . |
Baadhi ya Waandishi wa habari wakipata taswira mbalimbali za mabondia wakati wa kupima uzito.
Comments