PIGO : GURUMO AFARIKI DUNIA HOSPITALI YA MUHIMBILI.

Gurumo
Marehemu Maalim Muhidin Gurumo enzi za uhai wake.
Wapenzi wa muziki wa dansi wamepatwa na Pigo kubwa kufuatia kifo cha mwanamuziki mkongwe   ‘Maalim Muhidin  Gurumo’ kilichotokea mchana wa leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili aliyokuwa amelazwa kwa matibabu.
Kwa mujibu wa taarifa zinasema kwamba Mzee Gurumo alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu.
Awali Gurumo aliwahi kuwa kiongozi wa bendi kongwe nchini ya Msondo Ngoma ambayo alipata kuiongoza kwa kipindi kirefu kabla ya kuamua kustaafu muziki. Msiba upo nyumbani kwa marehemu eneo la Tabata Makuburi.
Blogu ya Larrybway91 inawapa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
AMEEEEN!!!



Matokeo ya Wigan vs Arsenal.



Screen-Shot-2014-04-13-at-12.13.49-AM_9f476.png
Ni game ya FA Cup ambapo April 12 2014 ambayo imewapa nafasi Arsenal kufika fainali baada ya kutoka droo kwenye goli walilosawazisha kwenye kipindi cha pili huku matokeo yakiwa 1-1.(Awadh Ibrahim)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI

KOCHA WA AL.AHLY ASEMA YANGA NI TIMU BORA NA NGUMU