MKURUGENZI ALEX MSAMA ANAENDELEA VIZURI

1Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dares salaam inayoandaa matamasha ya Pasaka na Krismwass Bw. Alex Msama anaendelea vizuri baada ya kupata ajali mkoani Dodoma kisha kupelekwa katika hospitali ya mkoa wa Dodoma na baadaye kuhamishiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika wodi Kibasila namba 16 hivi sasa anaendelea vizuri na amesema hali yake imekuwa ikiimarika tofauti na ilivyokuwa Mwanzo, Aliiambia Fullshangwe jana hospitalini hapo kwamba mungu ni mwema na ametenda miujiza yake ndiyo maana amekuwa akiimarika kiafya.(PICHA NA FULLSHANGWEBLOG-MUHIMBILI)2Mfanyakazi wa Kampuni ya Dira Ally Makuburi akimjulia hali Mkurugenzi wa kampuni hiyo Bw. Alex Msama ambaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, kulia ni Musa Mkama mwandishi wa gazeti hilo pia. 3Mfanyakazi wa Kampuni ya Dira Musa Mkama akimjulia hali Mkurugenzi wa kampuni hiyo Bw. Alex Msama ambaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili baada ya kupata ajali mkoani Dodoma. 5Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama akiwa na wafanyakazi wake na baadhi ya ndugu na jamaa wakati walipokwenda kumjulia hali katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jana.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA