MSAFARA WA KINANA WAPATA MISUKOSUKO BARABARA YA NAMANYERE -WAMPEMBE,NKASI,MKOANI RUKWA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisaidiana na watu walio kwenye msafara wake kuweka mawe barabarani eneo ambalo magari ya msafara huo yalikwama katika Barabara ya Namanyere Wampembe, wilayani Nkasi, Mkoa wa Rukwa. Kinana alikuwa anakwenda katika Kata ya Wampembe Jimbo la Nkasi Kusini kufanya mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya CCM.
Viatu na suruali aliyovaa Kinana vikiwa vimechafuka wakati wa harakti za kushiriki kuyanasua magari katika barabara hiyo
 Kinana akishirikiana na wananchi kulinasua gari la Polisi lililokwama katika barabara hiyo mbovu
 Kinana akishiriki kuweka mawe kwenye barabara hiyo
Baadhiyanahabari walio kwenye msafara wa Kinana, Elisha Eliya wa TBC (kushoto) na Halima Mlacha wa Habari Leo (katikati) wakiungana na wananchi kubeba mawe kwa ajili yakweka eneo lililoharibika ili mari yaiyokwama yaweze kupita
 Wananchi nao wakisaidia kubeba mawe
 Kinana akiwapiga picha wanahabri waliokuwa wamechoka katika harakati za kuiweka sawa barabara
Wananchi wa Kijiji cha Wampembe wakipiga makofi kumlaki Kinana

Wananchi wakisaidia kubeba mawe kwa ajili a kuweka eneo magari yalipokwama



Add caption
 Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Wampembe
 Moja ya magari yaliyo kwenye msafara likipita eneo lenye utelezi
 Baadhi ya watu walio kwenye msafara wa Kinana wakiangalia magari yakipita kwenye eneo lenye utelezi baada ya kuamriwa kushuka ili magari yapite kirahisi katika eneo hilo.
 Gari la polisi likisukumwa eneo hilo korofi
 Kinana akipita kando ya eneo korofi lililosababisha magari kukwama katika barabara hiyo, ambayo Kinana ameahidi ujnzi wake kuuhamishia Tanroads badala ya sasa kusimamiwa na Halmashauri ya Nkasi yenye uwezo mdogo wa kifedha za kujengea barabaa hiyo
Wananhi waliokuwa kwenye msafara wa Kinana wakiangalia mti wa Mnyangenyange unaodhaniwa kuwa ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume na za kike
 Mjumbew NEC CCM,Ali Karume akihutubia katika kijiji cha Ntemba wilayani Nkasi
Kinana akihutubia katika Kijiji cha Ntemba wilayani Nkasi,usiku baada y wananci kuusimamisha msafara wake uliokuwa ukitokea Kata ya Wampembe.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI