NMB YASAIDIA KITUO CHA WALIMU TEMEKE



Meneja wa kanda ya Dar es salaam NMB, Bw. Salie Mlay akikabidhi kompyuta kwa Afisa elimu manispaa ya Temeke Bi. Honorina Mumba  kwa ajili ya kituo cha walimu wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam. Msaada huu wa kompyuta mbili pamoja na mashine ya kuchapisha karatasi (Printer) vimetolewa na benki ya NMB kwa ajili ya mafunzo yanayotolewa kwa walimu katika wilaya hii.Hafla ya makabidhiano ilifanyika juzi jijini Dar es salaam. Akishuhudia makabidhiano hayo ni Mkuu wa kituo hicho cha walimu Temeke Bw.Daniel Matembele.

Meneja wa tawi la NMB Temeke Bw.Harold Lambileki akimkabidhi sehemu ya Kompyuta Mkuu wa kituo cha walimu Temeke Bw.Daniel Matembele. Msaada huu wa kompyuta mbili Pamoja na mashine ya kuchapisha karatasi (Printer) vimetolewa na benki ya NMB kwa ajili ya mafunzo yanayotolewa kwa walimu katika wilaya hii.


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA