NMB YATOA MADAWATI MJINI ZANZIBAR



Bw. Jaha Khamis Saidi, Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kitope akimshukuru Kaimu Meneja wa tawi la NMB Zanzibar, Bakar Mohamed baada ya kupokea madawati kutoka benki ya NMB. Msaada huo wa madawati ulikabidhiwa kutoka NMB kwa shule ya msingi Kitope ili kupunguza uhaba wa madawati unaoikumba shule hiyo.




Wanafunzi wa shule ya msingi Kitope mjini Zanzibar wakiwa wamekaa kwenye madawati yaliyotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya kupunguza uhaba wa madawati  unaoikabili shule ya msingi Kitope . Jumla ya madawati (50) hamsini yamekabidhiwa hivi karibuni katika shule hiyo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.