PICHA NA VIDEO: SKYLIGHT BAND WAFANYA UZINDUZI RASMI WA NYIMBO YAO MPYA YA KARIAKOO PAMOJA NA KUTAMBULISHA STUDIO YAO MPYA YA KUREKODIA MUZIKI.

skylight band 2
Meneja wa Band ya Skylight Aneth Kushaba akielezea kwa kina uzinduzi Rasmi wa wimbo wao Mpya unaokwenda kwa jina la Kariakoo ambapo uzinduzi huo uliambatana na Video pamoja na Audio. Pia ametambulisha Rasmi Studio ya kurekodi Muziki ambapo sasa nyimbo zao watakuwa wanafanyia katika Studio yao.
skylight band
Kutoka kushoto ni mmoja wa waimbaji wa Skylight Band Sam Mapenzi, (katikati) ni Meneja wa Band hiyo Aneth Kushaba pamoja na Mwimbaji mwengine wa Skylight Band Joniko Flower wakiwa wanazungumza na waandishi wa Habari na wadau mbalimbali wakati wa Uzinduzi wa wimbo wao mpya wa Kariakoo pamoja na Kutambulisha Rasmi Studio yao.
skylight band 1
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba, akitangaza rasmi ratiba zao za show ya Pasaka ambapo Tarehe 20/04/2014 watakuwa wanashow ya nguvu Mwanza Skylight Beach Resort (Jembe Beach) ambapo Watakao kata tiketi kabla itakuwa ni Tsh 10,000 na watakao katia Getini itakuwa ni Tsh 15,000 Pia tarehe 27/04/2014 kutakuwa na Tamasha maalum la kutambulisha Nyimbo mpya na wanamuziki wapya Escape One ambapo panafanyika Show za kila Jumapili ,aliongeza kuwa kila siku ya Ijumaa Show huwa Thai Village Masaki.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.