PICHA:KATIBU MKUU WA CCM ABDURAHMNA KINANA AZUNGUMZA NA KAMATI YA SIASA MKOA WA KIGOMA Inbox


   Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza katika kikao chake na Kamati ya Siasa ya mkoa wa Kigoma, katika ukumbi wa Ofisi ya CCM ya mkoa huo, jana, Aprili 9, 2014. Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na Mjumbe wa NEC, Balozi Ali Karume na kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Kigoma na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa Dk. Walid Kaborou.
   Balozi Dk. Ali Karume akizungumza kwenye kikao hicho cha Kamati ya Siasa mkoani Kigoma
   Nape akizungumza kwenye kikao hicho cha Kinana na Kamati ya Siasa ya mkoa wa Kigoma

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA