TAZAMA PICHA KUTOKA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI:WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHINI MATHIAS CHIKAWE AWASILI ZANZIBAR KUTEMBELEA IKULU, NIDA NA UHAMIAJI LEO


 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kushoto) akipokelewa na Naibu Waziri wa wizara yake, Pereira Ame Silima, wakati alipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo. Kulia ni Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamdan Omary Makame. Waziri Chikawe amewasili Zanzibar kwa ajili ya ziara ya kikazi.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (kushoto) akimsalimia Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), Dickson Maimu wakati alipotua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa  wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo. Waziri Chikawe amewasili Zanzibar kwa ajili ya ziara ya kikazi.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA