Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela (kushoto)
akikabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20
kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila (kulia) wakati wa
hafla ya makabidhiano iliyofanyika hivi karibuni katika kijiji cha
Mahumbika kilichopo Lindi vijijini.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila (kulia) na Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela (kushoto)
wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Mahumbika wakati wa
kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20
kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), kwa shule za mkoa
wa Lindi hivi karibuni.
Baadhi
ya wanafunzi wa shule ya msingi Mahumbika wakifurahia jambo wakati wa
hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi
milioni 20 kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA),
iliyofanyika hivi karibuni katika kijiji cha Mahumbika kilichopo Lindi
vijijini.
Wasanii
wa kikundi cha ngoma na maigizo cha kijiji cha Mahumbika, Lindi wakitoa
burudani wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye
thamani ya shilingi milioni 20 kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari
Tanzania (TPA), iliyofanyika hivi karibuni katika kijiji cha Mahumbika
kilichopo Lindi vijijini.
Msanii
wa kikundi cha ngoma na maigizo cha kijiji cha Mahumbika, Lindi akitoa
burudani wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye
thamani ya shilingi milioni 20 kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari
Tanzania (TPA), iliyofanyika hivi karibuni katika kijiji cha Mahumbika
kilichopo Lindi vijijini.
Mkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela akisoma
hotuba kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa
Bandari Tanzania (TPA) kabla ya kukabidhi msaada wa madawati 110 yenye
thamani ya shilingi milioni 20 kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick
Mwananzila hivi karibuni.
Mamlaka
ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), imekabidhi msaada wa madawati
110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa shule za Mkoa wa Lindi
katika hafla iliyofanyika hivi karibuni katika kijiji cha Mahumbika
kilichopo Lindi vijijini. Msaada huo wa madawati umekabidhiwa kwa shule
hizo hivi karibuni na mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bw.
Absolom Bohella mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mh. Ludovick Mwananzila.
Comments