VIJANA WA KAZI KUTOKA TIMU NZIMA YA TANZANIA MOVIE TALENTS WAKIJIANDAA TAYARI KWA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI LA KUIGIZA LINALOANZA KESHO JIJINI MWANZA


 D.O.P wa mradi wa Shindano la kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents, Sabri (kushoto) akiwa na kijana wake wa kazi wakijaribu moja ya kamera ambayo itatumika katika kazi nzima ya kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania.
Kamera man wakiwa tayari kwenda kujaribu vifaa vyao vya kazi kabla mpango mzima haujaanza katika kusaka vipaji vya kuigiza nchini shindano lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA