Balozi
wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula akisalimiana na
katibu wa Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio Bi. Happiness Salukele
wakiwemo wajumbe wa Jumuiya Nasra Murumah, Chiseko Hamisi na kushoto ni
mweka hazina wa Jumuiya Bi. Vera Teri
Mhe.
Balozi Liberata Mulamula na Mumewe Bwn. George Mulamula wakikaribishwa
kwenye mgahawa wa Mitchell's Steakhouse wa Columbus, Ohio na wajumbe wa
Jumuiya wakiwemo viongozi kwenye chakula cha jioni walichomuandalia Mhe.
Balozi na Mumewe. Mhe. Balozi Liberata Mulamula yupo Columbus kwa ajili
ya Fundraisng ya Jumuiya ya Watanzania Columbus, Ohio itayaofanyika leo
Jumamosi April 19, 2014 katika ukumbi wa Comfort Inn uliopo 1213 E.
Dublin Granville Road, Columbus, Ohio na kiingilio ni $15 na muziki
utaporomoshwa na Dj Luke kutoka DC.
Wajumbe
wakimpokea Mhe. Balozi Liberata Mulamula na Mumewe Bwn. George Mulamula
mara tu walipowasili kwenye mgahawa wa Mitchell's Steakhouse,
anayesalimia na Balozi ni mjumbe Michael Mngodo.
Kutoka
kshoto ni katibu wa Jumuiya Bi. Happiness Salukele, Mume wa Balozi Bwn.
George Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata
Mulamula, mweka hazina Bi. Vera Teri na mjumbe Nasra Murumah.
Wajumbe wakiangalia menu tayari kwa kuagiza chakula cha jioni walichomuandalia Mhe. Balozi pamoja na Mumewe.
Wajumbe wakiwemo kwenye chakula cha jioni walichomuandalia Balozi pamoja na mumewe.
Kutoka
kushoto ni Deo Mwalujuwa, mjumbe Joe Ngwilizi, mjumbe Michael Mngodo na
mwenyekiti wa Jumuiya ya Watanzania Columbus Ohio, Bwn Jimmy James.
Comments