Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia afungua mkutano wa wadau wa TEHAMA Jijini Dar
Waziri
wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa akifungua
mkutano wa siku mbili wa wadau wa Teknolojia ya habari na mawasiliano
(TEHAMA) kutoka nchi za ukanda wa Bonde la ufa leo jijini Dar es salaam.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia John Mngondo
(kulia) akiwa miongoni mwa washiriki wa mkutano wa siku mbili wa wadau
Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) kutoka nchi za ukanda wa
Bonde la Ufa leo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Digital Network Oy nchini Finland, Cipa Ojala
akisisitiza umuhimu wa mkutano wa wadau wa TEHAMA katika nchi za Bonde
la Ufa na msatakabali wa vyombo vya habari ikiwemo televisheni kuhama
kutoka analogia kwenda dijiti.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano wa wadau wa TEHAMA kutoka nchi za Bonde la Ufa
wakimsikiliza Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame
Mbarawa (hayupo pichani) akifungua mkutano wa siku mbili wa wadau
Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) kutoka nchi za ukanda wa
Bonde la ufa leo jijini Dar es salaam.

wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa (katikati)
akisalimiana na baadhi ya washiriki mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa
wadau Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) kutoka nchi za
ukanda wa Bonde la ufa leo jijini Dar es salaam. (Picha zote na Eleuteri
Mangi MAELEZO)
Comments