HATIMAYE!!!! WATANGAZAJI WA KIPINDI CHA XXL WAFUNGUKIA ISHU YAO YA KUCHAPANA MAKONDE LAIVU STUDIO

Watangazaji wa Kipindi cha XXL
Watangazaji wa Kipindi cha XXL, Hamis Mandi ”Bdozen”, Dj Fetty na Adam Mchomvu
Tukio la kurushiana makonde studio lililofanywa na watangazaji wa kipindi cha XXL kinachorushwa hewani na Clouds Fm kimetajwa kuwa ni kampeni iliyopewa jina la ‘Paza Sauti’ ya kuwaaminisha watanzania jinsi gani ujumbe unaweza kusambaa kama wataweza kuongea na kutoa taarifa.
Itakumbukwa kuwa mnamo Julai 02 mwaka huu, watangazaji wa kipindi hicho  ambao ni Bdozen, Dj Fetty pamoja na Adam Mchomvu waliwashangaza wasikilizaji baada ya  kuanza kurushiana maneno wakati wako hewani hali iliyopelekea waingie kwenye ugomvi.
Kwanza sorry sana Kama lile tukio la juzi kama lilikuzingua. Tuliifanya maksudi (prank)…..Ni tukio lililosambaa ktk Muda mfupi na Karibu Kila mtu alipata taarifa…..ukweli ni kuwa matukio meeeengi mtaani yanaendelea lakini watu wanayapigia kimya sababu unahisi halikuhusu sababu muhusika Si ndugu wala rafiki…Mpango ni kupaza sauti na kuyafikisha kwenye vyombo vya usalama matukio yote yanayosababisha amani ivunjike. #PazaSautiUkimyaHausaidii”  aliandika Bdozen kwenye ukurasa wake wa Instagram.KWA HISANI YA LARRYBWAY91 BLOG


XXL Clouds Fm
…Baada ya vuramai kutokea

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*