MALKIA WA SWAZILAND MATSEBULA AWASILI ZANZIBAR

 Mke wa Kwanza wa Mfalme Mswati wa Swaziland Queen Nomsa  Matsebula akivishwa shada la maua baada ya kuwasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku mbili,ambapo atatembelea sehemu mbalimbali ikiwa pamoja na Kizimbani,Shangani na Mji mkongwe wa Zanzibar.
 Mke wa Kwanza wa Mfalme Mswati wa Swaziland, Malkia Nomsa  Matsebula (katikai) akifuatana na Waziri wa Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto, Zainabu Omar  (wa kwanza kushoto) baada ya kuteremka Uwanja wa Ndege wa Zanzibar. (PICHA NA IDARA YA HABARI MAELEZO -ZNZ).

Mke wa Kwanza wa Mfalme Mswati wa Swaziland Queen Nomsa  Matsebula kushoto akibadilishana mawazo na Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii Vijana Wanawake na Watoto Zainabu Omar katika Ukumbi wa Uwanja wa ndege mara baada ya kuwasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*