MAN CITY YAKWEA PIPA KWENDA SCOTLAND KUWEKA KAMBI YA MAANDALIZI YA MSIMU, ALVARO NEGREDO NAYE NDANI YA CHOMBO!


   

 


All smiles: Unsettled Manchester City triker Alvaro Negredo laughs as he boards the plane to head to Dundee
Tabasamu kubwa: Mshambuliaji wa Man City ambaye hajatulia , Alvaro Negredo akicheka wakati alipokuwa anapenda ndege kwenda Dundee.

Imechapishwa Julai 10, 2014, saa 10:40 jioni

KIKOSI cha mabingwa wa England, Manchester City kimekwea pipa kwenda Dundee tayari kuanza ziara yao ya maandalizi ya msimu huko Scottish.
Katika msafara huo, pia umemjumuisha mshamabiliaji ambaye hajatulia kwa sasa, Alvaro Negredo aliyeonekana kuwa katika morali nzuri.
Kikosi cha Manuel Pellegrini kitacheza Dundee siku ya jumapili kabla ya kusafiri siku inayofuata kwenda Edinburgh kucheza dhidi ya Hearts siku ya ijumaa.
Negredo anayehusishwa kuondoka Etihad, alipigwa picha akipanda ndege binafsi ya Man City, `City Jet` jana jioni, huku naye kipa mpya, Willy Caballero akiwemo katika msafara huo.
Arrival: New goalkeeper Willy Caballaro is also going on City's pre-season tour to Scotland
Kifaa kipya: Kipa mpya wa Man city, Willy Caballaro pia yumo katika msafara wa klabu hiyo kwenda nchini Scotland kufanya maandalizi ya kabla ya msimu.
Boss: City manager Manuel Pelligrini will take his side to Scotland and then on to America
Big bosi!: Kocha wa City, Manuel Pelligrin atakuwa na kikosi chake nchini Scotland na baadaye atakwenda  America.
Chilled: Samir Nasri gets settled on board the short flight to Scotland
Ametulia tuli: Samir Nasri alipanda ndege ya klabu kwenda Scotland.
Flying high: City players sit aboard the plane in a photo tweeted by the club
Kitu hewani: Wachezaji wa City wakiwa katika picha iliyowekwa kwenye mtandao wa Twita wa klabu.
Prime seats: Aleksander Kolarov and Stefan Jovetic grab the spots at the back of City's plane
 Aleksander Kolarov na Stefan Jovetic  wakiwa kwenye ndege.
Private: City flew to Dundee in a personalised plane which bore the logo 'CityJet'
Ndege ya City akipaa kuelekea Dundee
Taking off: The plane leaves Manchester for Dundee as the City squad start pre-season
Vijana wakiondoka Manchester

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.