MKUTANO WA KUJADILI MASUALA YA KODI AFRIKA WAFANYIKA JIJINI ARUSHA

      

 Waziri wa fedha Saada mkuya akijadiliana jambo na rais wa kituo cha kimataifa cha ukusanyaji kodi na uwekezaji Daniel Witt wakati wa mkutano wa siku 3 wa majadiliano ya masuala ya kodi Afrika uliofanyika jijini Arusha jana
katika hotel ya naura spring.
Mkurugenzi mkuu wa TRA Rished Bade akizungumza wakati wa ufunguzi wa  mkutano wa siku 3 wa majadiliano ya masuala ya kodi Afrika uliofanyika jijini Arusha jana
 Picha ya pamoja
 Viongozi wa kuu
 Waziri Saada Mkuya akihojiwa na wanahabari.
waziri wa fedha Saada Mkuya katikati  akiwa na mkurugenzi mkuu wa TRA kulia Rished Bade na kushoto dr.Jeffrey Owens mtaalam msahuri wa kodi na mhadhiri chuo kikuu cha uchumi na biashara Viena mara baada ya waziri kufungua mkutano wa majadiliano ya masuala ya kodi unaofanyika jijini Arusha

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.