MTEMVU ATOA MSAADA WA TANI TANO ZA VYAKULA KWA VIKUNDI VYA WASIO NA UWEZO TEMEKE, DAR ES SALAAM

Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, akimkabidhi msaada wa vyakula, Beatrice Mgomele wa Makao ya Taifa, Kurasini, Dar es Salaam,  wakati wa hafla ya Mtemvu kukabidhi msaada wa tani tano ya vyakula kwa vituo na vya watoto wanaoishi latika, mazingira magumu na wasiojiweza, leo Julai 13, 2014, Temeke, Dar es Salaam.
 Hamisi Ally wa Kituo cha Dar Alqama, Tandika akipokea msaada huo wa vyakula kwa niaba ya kituo hicho.
 Mtemvu akimkabidhi, Aminajaat Kilemia wa Kituo cha Hiari Chang'ombe msaada wa vyakula kwa ajili ya kituo hicho
 Ernest Theones wa Kituo cha Upendo cha Maganga, Temeke Mikoroshini, akipokea msaada kwa ajili ya kituo hicho.
 Said Seif wa Kikundi cha Bajaji Disabled akipokea msaada kwa ajili ya kikundi hicho
 Jasmin John kutoka kundi maalum la Kinamama wenye ulemavu akikabidhiwa msaada kwa ajili ya kundi hilo.
 Mtemvu akizungumza na waandishi baada ya kukabidhi msaada, huo wenye vyakula vyenye uzito wa tani tano, vya sh. milioni kumi. Picha zote na Bashir Nkoromo wa theNkoromo Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA