PICHA ZA BAADHI YA MASHUJAA WETU WALIOKUFA KWA AJALI ZA MAGARI.

1.EDWARD MORINGE SOKOINE
Image
Image
Pichani ni gari lililosababisha kifo cha aliyekuwa waziri mkuu wa Tanzania Mhe:Edward Moringe Sokoine mnamo Tar 12 Mwezi 04 Mwaka 1984 wakati akitokea kwenye kikao cha Bunge mjini Dodoma kwenda jijini Dar – Es – Salaam.
Image
Picha hapo juu ikimuonyesha Baba wa Taifa ambaye naye ni marehemu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere akilia kwa uchungu baada ya kuona mwili wa aliyekuwa rafiki yake kipenzi Waziri Edward Sokoine ukiwa umelala milele.

2.CHACHA WANGWE
Image
Image
Image
Pichani ni Katibu wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia DKT.Wilbroad Slaa akiangalia gari lililosababisha kifo cha aliyekuwa mbunge wa Tarime Chacha Wangwe katika eneo la Pandamili ambapo Muheshimiwa Wangwe alikuwa anatokea Dodoma kuelekea Dar es salaam siku ya Tar 30/07/2008.

3.FIVE STAR MODERN TAARAB
Image
Pichani ni marehemu ambao walikuwa waimbaji wa kundi maarufu la Taarab la Five Star.
Image
Pichani ni gari lililosababisha vifo vya waimbaji wa Five Star katika eneo la Morogoro na kupelekea waimbaji 13 kufariki katika ajali hiyo.

 4.PATRICK MAFISANGO
Image
Image
Pichani ndio gari lililoitimisha maisha ya mshambuliaji wa  kimataifa wa mabingwa wa soka wa Tanzania bara SIMBA SPORT CLUB katika eneo la VETA mnamo mwaka jana 2012.
5.SHARO MILLIONAIRE
Image
Image
Pichani ni gari aina ya lexus Harrier ambalo alipata nalo ajali msanii wa muziki wa kizazi kipya pia muigizaji Sharo Millionaire katika eneo la Kibaoni Mkoani Tanga Majira ya saa mbili usiku alipokuwa akitoka Dar kuelekea Kwao Tanga mnamo Tar 26/03/2013. KWA HISANI YA LARRYBWAI BLOG

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI