RAIS KIKWETE AFUTARISHA WANANCHI WA MBEYA

mb1
Mbunge wa Mbeya Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” akipata futari na wananchi wenzie wa Mbeya katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.PICHA NA IKULU
mb2
Meza Kuu katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
mb3
Wananchi wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini MbeyaJumapili Julai 13, 2014.
mb4
Wananchi wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini MbeyaJumapili Julai 13, 2014.
mb7 mb8
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru wananchi wa Mbeya kwa kujitokeza kwa wingi katika futari aliyoiandaa katika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
mb10

mb12
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Sheikh Mohamed Ali Mwansasu akitoa mawaiadha baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
mb14
Wananchi wa Mbeya waliohudhuria futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini MbeyaJumapili Julai 13, 2014.
mb15
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Sheikh Mohamed Ali Mwansasu akitoa mawaiadha baada ya futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
mb16
Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika futari aliyoandaa katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
mb18
Rais Jakaya Kikwete akiungana na wananchi wa Mbeya katika swala ya Magharibi katika futari aliyoandaa katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014.
mb19
Waziri wa Nchi Katika Ofisi ys Rais (Kazi Maalumu) Profesa Mark Mwandosya, na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe Joseph Mbilinyi “Sugu” wakiungana na wananchi katika futari iliyoandaliwa na Rais Jakaya mrisho Kikwete katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Mbeya Day jijini Mbeya Jumapili Julai 13, 2014

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA