RAIS WA ZANZIBAR AFUTARISHA WANANCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA

      

IMG_6807 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na waislamu na Viongozi katika swala ya Magharibi katika viwanja vya Ofisi ya Uhamiaji Tunguu kabla ya  futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja jana.
IMG_6811Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi  katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja jana katika viwanja vya  Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.
IMG_6816Wananchi wa Mkoa wa Kusini  Unguja   kwa pamoja  wakijumuika katika fuitari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya  Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja.
IMG_6824Naibu Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na MIchezo Bihindi Hamadi Khamis (wa pili kulia) akijumuika na Viongozi wengine katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Ukumbi wa Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Mkoa wa Kusini jana.
IMG_6831 Akinamama wa Mkoa wa Kusini Unguja wakijumuika katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika Ukumbi wa Ofisi ya Uhamiaji Tunguu Mkoa wa Kusini jana.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.