SIKU YA PSPF YAFANA SABASABA

 Afisa wa Mfuko wa PSPF, (Kushoto), akiwahudumia wananchi waliohudhuria siku ya PSPF kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam, Ijumaa Julai 4, 2014
 Mkurugenzi Mkuu was Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Wapili kulia), akimhudumia mstaafu, Jackson F. Salewa, (Kulia), aliyetembelea banda la mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa, kwen ye viwanja vya JK Nyerere jijini Dar es Salaam jana.
 Msanii Banana Zoro (Katikati) na wasanii wa kundi la Mjomba Band, wakitumbuiza wanachi waliofika kusherehekea siku ya PSPF, kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa ya 38 kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam, Ijumaa Julai 4, 2014
 Msanii Mrisho Mpoto, wa kundi la Mjomba Band, na mwenzake, Banana Zoro, wakitumbuiza kwenye sherehe ya siku ya PSPF, kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini Ijumaa Julai 4, 2014


 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Wanne kulia) na maafisa wengine wa Mfuko huo, wakipiga makofi kuashiria kushangilia jambo, wakati wa sherehe za siku ya PSPF, kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam, Ijumaa Julai 4, 2014

 Meneja Mawasiliano, Mahusiano na Masoko, wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Costantina Martin, (Kushoto), akitoa maelezo ya utambulisho kwenye sherehe ya siku ya PSPF, kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimun JK Nyerere jijini Dar es Salaam, Ijumaa Julai 4, 2014

 Mke wa rais Mama Salma Kikwete, akipeana mkikono na Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, alipotembelea banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini Ijumaa Julai 4, 2014

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*