Katika ali ya kutaka kujua ukweli
mtangazaji wa kipindi hicho alimtandika swali la kizushi Ali Kiba kuhusu
Bifu hilo linaloendelea mapka sasa huku akitaka kujua chanzo kikubwa
cha yeye na Diamond na yeye kuhitiliafiana. Ali aligoma kabisa kuelezea
chanzo cha ugomvi ama bifu lililo kati yao.
Bila ajizi Dj FETTY aliamua kuweka wazi chanzo cha vuguvugu hilo. kuwa
katika wimbo wa LALA SALAMA wa Diamond kulikuwa kuna mistari ama verse
ambazo alitakiwa kuimba Ali Kiba, lakini kwa mshangao Diamond alifuata
mistari ambayo Ali Kiba ilibidi aimbe, na kwa upande wa pili Alikiba
katika wimbo wake wa Single boy pia kulikuwa kuna verse ambazo Diamond
ilibidi aimbe lakini Alikiba akaamua Kumtolea nje na kumshirikissha Lady
Jay dee.
Kwa hiyo Hiyo no sababu kuu kati yanyingi zinazopelekea Bifu kubwa kati ya wasanii hawa wawili wa Bongo Fleva. ni mengi yamezungunzwa ndani ya kipindi hicho cha XXL,
Kwa hiyo Hiyo no sababu kuu kati yanyingi zinazopelekea Bifu kubwa kati ya wasanii hawa wawili wa Bongo Fleva. ni mengi yamezungunzwa ndani ya kipindi hicho cha XXL,
Comments