TAKWIMU ZA DIEGO MARADONA DHIDI YA LIONEL MESSI?

KATIKA fainali za mwaka 1986, Diego Maradona aliifungia Argentina au kutoa pasi za mwisho katika mabao 10 ya nchi hiyo. Mwaka huu, Messi amefunga au kutoa pasi katika mabao 8 ya Arggentina. Maradon pia alikabiliana na Ujerumani (Ujerumani Magharibi kwa wakati huo) katika mchezo wa fainali, lakini hakufunga goli katika mechi hiyo.

DIEGO MARADONA - 1982, 1986, 1990, 1994


Mechi za ya WC - 21
Magoli ya WC - 8 (pasi za mwisho 8)
Aligusa mpira mara - 1468 (183.5 touches/goal)
Dakika alizocheza- 2007 (250.9 min/goal)
Mashuti yaliyolenga goli - 26 (44.1% on target)
Wastani wa mashuti na umbali - 21.7  (Goli nje ya boks-0
Jumla ya mashuti - 59 (30.8% yalilenga goli)

LIONEL MESSI - 2006, 2010, 2014


Mechi za WC - 14
Magoli ya WC - 5 (3 pasi za mwisho)
Amegusa mpira mara - 958 (191.6 touches/goal)
Dakika alizocheza - 1170 (234.0 min/goal)
Mashuti yaliyolenga goli - 22 (44% yalilenga goli)
Wastani wa magoli na umbali- - 22.2 yards (3 magoli nje ya boksi)
Jumla ya mashuti - 50 (22.7% yalienda golini)
Wastani wa umbali wa magoli ya kombe la dunia 

Maradona and Messi have done their World Cup scoring in very different ways.
Maradona  na Messi wamfanya kazi yao katika kombe la dunia kwa kufunga kwa kila namna 

Kiwango cha Argentina katika fainali za kombe la dunia uliwalinganisha - Maradona '86 vs. Messi '14
Magoli: Maradona (5) - Messi (5)
Pasi za mwisho: Maradona (4) - Messi (1)
Magoli ya timu: Maradona (14) - Messi (8)
Wastani wa mabao ya timu: Maradona (71.4%) - Messi (63%)
Makombe ya kombe la dunia: Maradona (1) - Messi (TBD)
Idada za mechi walizocheza kwa wakati wote.
1. Javier Zanetti - 145
2. Roberto Ayala - 115
3. Diego Simeone - 106
4. Javier Mascherano - 104
5. Oscar Ruggeri - 97
6. Lionel Messi - 92
7. Diego Maradona - 91
8. Ariel Ortega - 87
9. Gabriel Batistuta - 78
10. Juan Pablo Sorin - 76

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*