TIM KRUL AIPELEKA UHOLANZI NUSU FA


Kipa wa Uholanzi, Tim Krul akipangua penalti ya Michael Umana wa Costa Rica.
Tim akishangilia na mwenzake Dirk Kuyt baada ya kuipeleka Uholanzi nusu fainali.
Uholanzi wakishangilia baada ya ushindi wa 4-3.
KIPA wa Newcastle, Tim Krul amekuwa shujaa wa Uholanzi baada ya kudaka mikwaju miwili ya penalti na kuipeleka timu yake nusu fainali wakati timu hiyo ilipokwaana na Costa Rica katika mechi ya robo rainali nchini Brazil usiku wa kuamkia leo.
Uholanzi wameshinda kwa penalti 4-3 na watakwaana na Argentina Julai 9 mwaka huu katika nusu fainali.
Kipa huyo aliingia sekunde chache kabla ya muda kabla ya muda wa nyongeza kumalizika akichukua nafasi ya kipa Jasper Cillessen.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.