WAISLAMU WA MADHEHEBU YA ANSWAR SUNN WASHEHEREHEKEA SIKUKUU YA EID EL FITR LEO VIWANJA VYA MWEMBE YANGA

Sheikh Afidh Mtunyungu (kulia), akitoa hotuba wakati wa swala ya Eid El Fitr iliyofanyika leo asubuhi Viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam.
 Waumini wa Kiislamu wakiwa kwenye swala hiyo.
 Hapa waumini hao wakinunua kanzu katika viwanja hivyo.
 Hapa waumini hao wakiswali.
  Hapa waumini hao wakiswali.
 Hapa waumini hao wakiswali. Imeandaliwa na www.habari za jamii.com- simu namba 0712-727062.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*