WATENDAJI NA VIONGOZI WA CCM NA JUMUIA ZAKE NGAZI YA KATA KATIKA JIMBO LA TEMEKE WAPEWA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO

 Mwenyekiti wa CCM, wilaya ya Kinondoni Salum Madenge akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo watendaji na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi na Jumuia zake ngazi ya kata, katika Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, leo, Julai 18, 2014 katika ukumbi wa CCM Uwanja wa Taifa. Kulia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu na Kushoto ni Katibu Mwenezi wa Wilaya ya Temeke Rutami Masunu.
 Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye mafunzo hayo
 Katibu Mwenezi wa wilaya ya Kinondoni, Mwinyimkuu Sangaraza, akitoa mada kuhusu wajibu na majukumu ya Katibu wa Uchumi na Fedha kwa mujibu wa katiba ya chama, wakati wa mafunzo hayo.
 Kada wa CCM, Badili Mangula akitoa mada kuhusu wajibu wa Katibu kwa mujibu wa Katiba.
 Mwenyekiti wa CCM, Kinondoni, Salum Madenge akiziungumza na waandishi baada ya kufungua mafunzo hayo elekezi.
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu akizungumza baada ya kufunguliwa mafunzo hayo. Picha zote na Bashir Nkoromo- theNkoromo Blog

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*