WATUHUMIWA 16 WANAODAIWA KUJIHUSISHA NA VITENDO VYA UGAIDI WAPANDISHWA KIZIMBANI NCHINI

      

001Baadhi ya watuhumiwa wanaodaiwa kujihusisha na vitendo vya ugaidi katika  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakisindikizwa na askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), kuingia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Julai  17,2014 kusomewa mashitaka yao. Watuhumiwa 16 walisomewa mashitaka.
002Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiimarisha ulinzi.
003Watuhumiwa wakiingia ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
004005 006 007 008Watuhumiwa wakipelekwa maabusu baada yakusomewa mashitaka yao.
009Watuhumiwa wanaodaiwa kujihusisha na vitendo vya ugaidi wakiwa kwenye  ulinzi mkali.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄 𝙆𝘼𝘾𝙃𝙀𝙕𝘼 𝙆𝙄𝘽𝙄𝙉𝙂𝙒𝘼.