WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATEMBELEA BANDA LA KAMPUNI YA PROPERTY INTELNATIONAL LIMITED KATIKA MAONYESHO YA (TANTRADE) SABASABA


1wWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Miengo Pinda akiwasili kwenye banda la Kampuni ya Property Itnernational Limited ya jijini Dar es salaam wakati alipotembelea banda hilo Katika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa (TANTRADE) kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam, Ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo inayojihusisha na miradi mikubwa ya upimaji na uuzaji wa viwanja vilivyopimwa kitaalamu maeneo mbalimbali nchini. kulia aliyeongozana naye ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. Abdallah Kigoda. 2wWaziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akimsikiliza Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Property International Limited Bw. A. Haleem wakati akitoa maelezo kuhusu miradi mbalimbali inayotekelezwa na kampuni hiyo nchini wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonyesho ya 38 ya TANTRADE katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar essalaam. 3wKutoka kulia ni Wakuu wa kampuni hiyo Mkurugenzi Mohamed Mahfoudh, Abdu Thabit , Hashim Thabit na Masoud Saeed Alawi wakimsubiri Mh. waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati alipotembelea bada lao. 4Waziri Mkuu Mizengo Pinda wa pili kutoka kushoto akimsikiliza mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati akitoa maelezo kuhusu shughuli za kampuni hiyo Kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara na katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Property International Limited Bw. Bw. A. Haleem na kutoka kulia ni Mkurugenzi wa TANTRRADE Bi. Anna Bulondo na Mkurugenzi wa kampuni ya Property International Limited Mohamed Mahfoudh, 5wWaziri Mkuu Mizengo Pinda akiagana na wakuu wa kampuni hiyo mara baada ya kutembelea banda lao kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa TANTRADE kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kirwa leo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DKT NCHIMBI ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU.GACHUMA WA KANISA LA NLGCC

π™‚π˜Όπ™ˆπ™Šπ™‰π˜Ώπ™„ π™†π˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™€π™•π˜Ό π™†π™„π˜½π™„π™‰π™‚π™’π˜Ό.