WENGI WATEMBELEA BANDA LA PSPF SABASABA

 Afisa Mwandamizi wa Mfumo wa Taarifa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mariam I.Saleh, (Kushoto), akiwaeleza maafisa hawa wa polisi, kazi na huduma mbalimbalin zitolewazo na Mfuko huo, walipotembelea banda la PSPF, kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
 Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Zuhura Saleh (Kulia) na Ofisa mwandamizi wa mfumo wa taarifa, Mariam I. Saleh, wakimuhudumia mkazi huyu wa Dar es Salaam, (Kushoto), aliyetembelea banda la PSPF, kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam.
 Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Zuhura Saleh, (Kushoto), akimpatia maelezo ya kina, mkazi huyu wa jijini Dar es Salaam juu ya huduma zitolewazo na Mfuko huo, alipotembelea banda la PSPF, kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam
 Maafisa wa polisi, wakitazama (Mfano), wa nyumba zinazojengwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF, ambazo hukopeshwa kwa wanachama wake, wakati walipotembelea banda la Mfuko huo, kwenye maonyesho ya 38 ya bishara ya kimataifa Dar es Salaam, kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini. Anayewahudumia, ni Afisa uwekezaji, Hamidu Ngororo.

 Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Zuhura Saleh, (Kushoto), akimpatia maelezo ya kina, mkazi huyu wa jijini Dar es Salaam juu ya huduma zitolewazo na Mfuko huo, alipotembelea banda la PSPF, kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam

 Afisa Mwandamizi wa Mfumo wa Taarifa wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mariam I.Salehakimsikiliza Mwnaachama aliyetembelea banda la PSPF, kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya  Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mwalimu JK Nyerere jijini Dar es Salaam

Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Zuhura Saleh (Kulia) akimuhudumia Mwanachama wa Mfuko huo, (Kushoto), aliyetembelea banda la PSPF, kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI