AFISA WA JESHI LA POLISI WA KIZUNGU AWA CHANZO CHA VURUGU BAADA YA KUMPIGA RISASI KIJANA MWEUSI NA KUFARIKI DUNIA.

http://gdb.voanews.com/829B979C-BF0C-4AE9-BF1E-F11D2EAAD03A_w443_h249.jpg 
Gavana wa jimbo la Missouri nchini Marekani ameamrisha jeshi la akiba la ulinzi wa taifa kwenda katika mji wa Ferguson baada ya wiki moja maandamano ya ghasia yaliyosababishwa upigaji risasi wa kijana mmoja Mmarekani mweusi na afisa wa polisi mzungu.

Jumapili usiku polisi wakiwa na nguo maalum za kuzuia risasi na kofia za kuzuia gesi walirusha mabomu ya machozi kutawanya kundi la watu waliokuwa wakiandamana kuwafuata polisi hao.

Polisi wanasema baadhi ya waandamanaji walishambulia polisi kwa moto na kuwafyatulia risasi na kujiingiza katika vitendo vya kupora na kuharibu mali lakini hakuna polisi walioripotiwa kujeruhuiwa.

Polisi walielezea ghasia hizo kama vitendo vya jinai vilivyopangwa mapema na vilivyolenga kuharibu mali , kuumiza watu na kuchokoza majibu ya polisi. Watu

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI