CCM YAWAJIA JUU WANAOIKEJELI CCM, RAIS KIKWETE JUU YA BUNGE MAALUM LA LA KATIBA

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo,  ambapo alikemea kitendo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu, Joseph Warioba na wajumbe wa tume hiyo kutoa lawama kwa CCM na Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete kwenye midahalo wanapozungumzia Bunge maalum la Katiba.(PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA