KILICHOTOKEA BAADA YA DIAMOND KUKUTANISHWA NA JOKETI

JOKATE NA DIAMOND

Presenter maarufu ndani na nje ya bongo akiwa pia anajishuhulisha na maswala ya ugizaji Msanii Jokate Mwagelo katika hali isiyokuwa ya kawaida amekutana uso kwa uso na aliwewahi kuwa mpenzi wake msanii Diamond kaitka moja ya Interview ambayo hufanya kwenye kipindi cha The One show kinachorushwa na kituo cha Tv cha Tv1,ambapo Joakote alionekana kumwonea aibu msanii Diamond na yeye pia nguli wa bongo Fleva kuoneka akiona aibu vilevile unaweza kutizama pia hizo hapa
JOKATE NA DIAMOND
JOKATE NA DIAMOND

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA