MAKALLA AONGOZA HARAMBEE ILIYOFANIKISHA SH. MIL.124 ZA UJENZI WA SEKONDARI YA ELBENEZA MOROGORO

Naibu waziri maji Amos Makalla Jumapili aliongoza waumini wa kanisa kkkt dayosisi ya mashariki , viongozi wa majimbo na sharika zake katika harambee ya kuchangisha fedha za ujenzi wa shule ya Elbeneza itakayokuwa kwa ajili ya shule ya msingi na sekondari.

Katika harambee hiyo fedha sh 124m zilipatikana kati ya hizo fedha taslimu sh 57m zilipatikana na 67m ikiwa ni ahadi. lengo la harambee ni kupata sh 120m kukamilisha majengo muhimu kuwezesha shule hiyo kufunguliwa januari mwakani.

Makalla alimpongeza askofu mameo, wachungaji na waumini kwa michango yao kufanikisha ujenzi Aidha alilipongeza kanisa kwa uumuzi wa kujenga shule imeonyesha namba kanisa lilivyo tayari kushirikiana na serikali na amewahaidi kuzitafutia changamoto mbalimbali walizompatia kuziwasilisha serikalini
Makalla akiwa na familia ya Askofu Mameo
Makalla akishiriki katika ibada hiyo

Makalla akiongoza harambee hiyo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*