Msanii kutoka India, Bi Vani Madhav Afanya Onesho Ngome Kongwe

         MC Ndg. Farouk akitowa maelezo kabla ya kuaza kwa show katika ukumbi wa Ngomekongwe

Balozi Mdogo wa India mwenye suit akishangilia moja ya onesho la ufungu la Kikundi cha Chuo cha Sanaa Zanzibar kikitoa burudani ya muziki wa mwambao, akiwa na Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India Nchini Zanzibar Balozi Satendar Kumar, akizungumza wakati wa Onesho la Muziki  wa Wasanii kutoka India Bi Vani Madhav,lililofanyika katika ukumbi wa ngomekongwe.Zanzibar  
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud, akihutubia wakati wa onesho la Msanii mahiri kutoka India Bi Vani Madhav, alipokuwa akitowa burudani ya dansi ya India, iliofanyika usiku katika ukumbi wa ngomekongwe, Akimuwakilisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.
Wananchi wakifuatilia Onesho la Msanii kutoka India Bi. Vani Madhav akitowa burudani hiyo katika viwanja vya Ngomekongwe.


Wananchi wakifuatilia Onesho la Msanii kutoka India Bi.Vani Madhav akitowa burudani hiyo katika viwanja vya Ngomekongwe.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Mhe. Mohammed Aboud (katikatiki)  na kulia Balozi Mdogo wa India Zanzibar Balozi Satendar Kumar, na kushoto Balozi Mdogo wa China Zanzibar Balozi Kie. Yuanliang, wakifuatilia onesho hilo la msanii kutoka nchini India akionesha umahiri wake wa kucheza ngoma ua Utamaduni wa India iliofanyika katika ukumbi wa Ngome kongwe Zanzibar.
Wananchi wakifuatilia onesho la ngoma ya Utamaduni kutoka India ikichezwa na Msanii maarufu Bi Vani Madhav,iliofanyika katika ukumbi wa ngome kongwe lililoandaliwa na Ubalozi wa India na kudhaminiwa na Baraza la Utamaduni na Uhusiano la (ICCR) na kusimamiwa ma kamati  Wafanyabiashara wa Zanzibar wenye asili ya India.
Msanii kutoka India Bi Vani Madhav akitowa maelezo ya jinsi ya onesho lake kwa wananchi waliohudhuria katika ukumbi wa Ngome kongwe Zanzibar kabla ya kuaza kwa onesho hilo lililoandaliwa na Ubalozi wa India Tanzania na kusimamiwa na Kamati ya Wafanyabiashara wa Zanzibar wenye asili ya India kufanikisha onesho hilo kwa Wananchi wa Zanzibar.




Wananchi wenye asili ya India wakichukua picha ya kumbukumbu ya Msanii kutoka India Bi Vani Madhav wakati akionesha onesho lake katika ukumbi wa Ngome Kongwe Zanzibar.
Msanii kutoka India Bi Vani Madhav, akiwa katika ukumbi wa ngome kongwe akionesha ngoma ya Utamaduni wa India katika viwanja vya Ngomekongwe Zanzibar ilioandaliwa na Ubalozi wa India Tanzania.
Msanii kutoka India Bi Vani Madhav, akiwa katika ukumbi wa ngome kongwe akionesha ngoma ya Utamaduni wa India katika viwanja vya Ngomekongwe Zanzibar ilioandaliwa na Ubalozi wa India Tanzania.

Msanii kutoka India Bi Vani Madhav, akiwa katika ukumbi wa ngome kongwe akionesha ngoma ya Utamaduni wa India katika viwanja vya Ngomekongwe Zanzibar ilioandaliwa na Ubalozi wa India Tanzania.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

NI SIMBA PEKEE ILIYOFUNGWA ROBO FAINALI

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

HATUTOPAKI BASI DHIDI YA YANGA-MOKWENA

“PEMBA SALUTI KWENU” DK. NCHIMBI*

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA