MSIMU WA ‘FIESTA 2014’ WAZINDULIWA

      

s2
Meneja Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti SBL Bw Allan Chonjo akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla hiyo, kushoto ni Meneja wa bia ya Serengeti Lager Bwana Rodney Rugabwa.
s4
Mkurugenzi wa kampuni ya SCANAD Bi. Betty Addero Radier kulia akipozi kwa picha na Bw. Abdalla Singano Kampuni ya PR ya Abstract ya jijini Dar es salaam.
s6
Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers SBL Bw. Ephraim Mafuru kulia akizungumza na Mkurugenzi wa kampuni ya SCANAD Bi Betty Addero Radier kushoto na  Bw. Abdalla Singano Kampuni ya PR ya Abstract ya jijini Dar es salaam.
s7
Baadhi  ya wageni waalikwa wakiwa katika hafla hiyo
s9
Baadhi ya waandishi wa habari wakibadilishana mawazo wakati wa hafla hiyo.
s10
Mhariri mkuu wa chumba cha habari Radio Clouds Bi. Joyce Shebe katikati akiwa na wanahabari wenzake wa Clouds Radio.
s11
Evance Mlelwa Mkurugenzi Masuala ya Kampuni akizungumza katika hafla hiyo.
s12
Mkurugenzi wa masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers SBL Bw. Ephraim Mafuru wa pili kutoka kulia  Meneja Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti SBL Bw Allan Chonjo kulia Evance Mlelwa Mkurugenzi wa Masuala ya Kampuni kushoto na Meneja bia ya Serengeti Lager Bw. Rodney Rugambwa wakionyesha bia za kampuni hiyo wakati wa hafla hiyo ya kuzindua msimu wa Serengeti Fiesta 2014.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

HAKUNA BINADAMU ALIYESALIMIKA NA UPOFU HUU...

SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WATANZANIA WATAKAOVAA JEZI ZA MAMELODI AU AL AHLY

CHATANDA AFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO MADIWANI WANAWAKE WA MIKOA 11

KINANA ASIMIKWA KUWA MMOJA WA MACHIFU WA WAPARE, SAME MAGHARIBI

KOCHA BENCHIKHA AMESEPA

MASHUSHUSHU WA MAMELODI WALIKUJA KUTUPELELEZA: HERSI